YA MOTO BAND NDANI YA LONDON
Confirmed...21Feb2015..Yamoto! Yamoto! Yamoto Band Live in the UK For the first Time Ever...When we Say Live, we mean
Live with Full Band & Dancers...
Zurii House of Beauty CEO akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa Yamoto Band, Maromboso (kushoto) na Aslay baada ya makubaliano ya kuidhamini bendi hiyo kufanya show yao jijini London.
Zurii House of Beauty CEO akiwa kwenye picha ya pamoja na mameneja wa yamoto band
It's gonna be bigger and better! UK & Europe people Save the Date. Their Live Performance is a must see..If you love live music
Make sure you get your tickets mapemaaaa...Hili ni Bonge la show kuwahi kutokea na watoto wameahidi kuweka historia
0 comments:
Post a Comment