Mabomu ya Machozi Yarindima Zanzibar Kuwatawanya Wafuasi wa CUF Walioingia Barabarani Kushangilia Ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad
Hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi amelazimka kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa CUF walioingia barabarani kushangilia ushindi wa Maalim Seif Sharif Hamad ambaye amejitangazia ushindi hata kabla ya ZEC kumaliza kutangaza matokeo.
Mabomu ya machozi yamepigwa kwa wingi katika mji wa Chakechake baada ya wananchi kukaidi amri halali ya Polisi ya kuwataka watawanyike
0 comments:
Post a Comment