Wakati ambapo nyimbo ni sehemu muhimu kwa wapenzi wengi kunogesha mapenzi na hata kuwa kumbukumbu ya happy moment wakati wa nyuma katika mapenzi.
Upo ukweli mwingine usioepukika katika visa vya watu kuumizwa lakini wakati huo huenda kuna nyimbo zikawa zinaelezea uhalisia wa yaliyokukuta na pengine ukute ndo nyimbo iliyokuwa inapigwa kila kona na ukisikia tu unakumbuka machungu.
Ama nyimbo iliyokuwa inapigwa ama kuisikia kwa namna yoyote iwe radioni, kwa mpenzi wako, kwenye disco, kwenye milio ya simu ila yote inakukumbusha machungu uliyowahi kupata.
Kiasi cha mpaka kuichukia nyimbo ile ama kutotaka kabisa kuisikia.
UKIANDIKA NYIMBO NA KISA KWA KIFUPI ITAPENDEZA ZAIDI.
0 comments:
Post a Comment