Fahamu Kuhusu Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke



Shanga Ni Ishara Hasa Kwa Wanawake Wa Pwani Ya Tanzania,wanawake Wengi Hupenda Kuvaa Shanga Kuashiria Kitu. Mfano Akivaa Nyekundu Anaashiria Kuwa Yupo Siku Zake Hawezi Kufanya Mapenzi, akivaa Nyeupe Yupo Free Anaweza Kufanya Mapenzi Na Akivaa Nyeusi Huashiria Yupo Free Lakini Hawezi Kufanya Mapenzi.
Katika Uvaaji Wa Shanga Kuna Makundi Mawili Kundi La Kwanza Huvaa Shanga Kwa Ajili Ya Kumvutia Mwanaume Pindi Anapomvulia Nguo Mwanaume, kundi La Pili Huvaa Shanga Kwasababu Ngozi Zao Zimepoteza Hisia Kwa Ajili Ya Kushikwa Mara Kwa Mara Na Mikono Ya Kiume. Hivyo Anapovaa Shanga Zinamsaidia Kuamsha Hisia Pindi Mwanaume Anapozichezea Vilevile Shanga Huleta Msisimuko Kwa Mwanamke Ambao Humfanya Ajisikie Raha Isiyo Kifani Ndio Maana Wadada Wengi Hupenda Kuzivaa.
Pia uvaaji wa shanga unaendana na utandikaji wa mashuka,mpenzi wako akitandika shuka jeupe/jeusi/jekundu huwa ana maana yake hivyo yakupasa kumuelewa


NB:MADADA WENGI HAWAJUI NAMNA YA KUZIVAA UTAKUTA KAVAA ZOTE TATU HALAFU SIYO WASTAARABU ZINAONEKANA HADHARANI.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment