Video: Diamond Na P Square Walivyoteka Hisia Za Mashabiki Jana Huko Nigeria!!!







Wasanii wa Africa walipata nafasi yakutoa burudani katika tuzo hizo za GloCafAwards‬ kama Uhuru Mr lavour Uhuru ,soweto gospel choir na wengineo Lakini Watu Waliguswa na Nyimbo ya diamond mdogo My Number one remix ambayo Plutnmz alionyesha uwezo wakuimba ubeti wa Davido Wote Bila yakufwata Cd Back Play nakufanya vizuri
P square walifanikiwa kuwa kosha masbabiki baada ya kuimba nyimbo mbili Test MOney Na Ejajo
 














Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment