BABY MADAHA "NASAKA MWANAUME WA KUZAA NAE, NATAMANI KUWA NA WATOTO"



MKALI wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha amesema anatamani kuwa na mtoto lakini bado hajamuona mwanaume wa kuzaa naye na kuanika vigezo vya mwanaume anayestahili kuwa baba bora kwake.
Akibonga mawili matatu na paparazi wetu, Baby alisema suala hilo linahitaji umakini mkubwa katika uchaguzi na sifa anazozihitaji yeye ni upendo wa kweli na uhodari wa chumbani katika uwanja wa mahaba.
“Namsaka mwanaume mwenye sifa za kunizalisha, awe baba bora maana ishu ya kumpata mwanaume huyo si suala la mchezo lazima uwe makini ili mtoto wako ajivunie kwa mzazi aliyenaye, sichagui rangi ila awe mrefu na mwili uliojijenga, akiwa amenizidi umri au mdogo
freshi tu ilimradi aweze kazi,” alisema Baby.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment