Nuh Mziwanda na Shilole Wana Break the internet Kwa Picha hii, Vifua Wazi.

shilolee 3
Wasanii Nuh Mziwanda na mpenzi wake Shilole ambao weekend iliyopita walifanya show yao pamoja maisha club wametumia instagram kujaribu kufanya kinachofanywa na mastaa tofauti duniani kupata attention ya watu. Picha ya Nuh na Shilole wakiwa kwenye pozi la mahaba na Shilole akionekana bila nguo kifuani.
shilolee 2  shilolee
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment