Uwoya aonyesha Tatoo yake ili watu waisome?


Vijimambo: Picha hii ya mrembo na mwigizaji wa filamu anaezimikiwa na mashabiki wengi, Irene Uwoya imewaacha midomo wazi mashabiki wake huku wakiwa na alamaza kujiuliza vichwani mwao.

Irene aliibandika picha hii mtandaoni bila kuandika kitu chochote kwahiyo ikawa kawa amewaachia fursa mashabiki wake watiririke.

Mbali na watu kusifia uzuri wake kwa ujumla, watu wengi walijikita kwenye tattoo yake ambayo amejichora juu ya kifua, karivu kabisa na shingo yake.

Wengi walijiongeza kuwa mwanadada huyu ameionyesha tattoo hiyo ili watu waweze kusoma ni nini alichokiandika, na wapo walio jaribu kuandika kile kilichoandikwa hapo.

Kiukweli mimi macho yangu hayako vizuri, mwenye macho tunaomba umtusidie, ameandika nini hapo?.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment