Nuh Mziwanda: Shilole Nimekupa Ruksa, Nipige Mpaka Nikome!






Baada ya juzi kati, mwanamama Shilole kumpiga kofi mchumba wake Nuh Mziwanda mbele za watu, Jana usiku Nuh Mziwanda ameibuka na kuandika bandiko hili mtandaoni.

“Mwanaume lijali aliekamilika ampigi mpenzi wake wala kurudishia kibao au kofi alilopigwa na mpenzi wake.naamini kwenye mapenzi ya kweli wivu lazima na kugombana kwenye mapenzi ni kama kwenda chooni ni swala la kawaida sana.aaaaaaaya mke wangu nimekupa ruksa nipige mpaka nikome.ila all i know its love dats it.Nawapenda Mashabiki wangu pamoja sana ….zimaTaa sie tayari”Mziwanda aliandika baada ya kuweka picha hiyo hapo juu

Mh! Amakweli haya ndio mapenzi!! Kila la kheri……
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment