Agness Masogange Aonyesha Uzuri Wake Mtandaoni, Hii Ya Sasa Ni BALAA...
Mrembo aliye make headline hasa baada yakusimamia poa kwenye video ya 'Masogange' yake Belle-9 ambapo ikasababisha afahamike kama video queen wa bongo Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange amekuwa akisifika kwa umbo zuri hata kuaminika kushinda warembo maarufu wa hapa bongo.
Hizi ni picha mbili alizoshare kwenye account yake ya Instagram ambapo kila ambaye amekuwa akiziona amekuwa akiongelea chake kutokana na umbo zuri na lenye mvuto la mrembo huyu ambaye kwa sasa yupo Afrika Mashariki.
0 comments:
Post a Comment