HUYU NDIE MSANII WA KIKE BONGO ANAYETAMANI SANA KUIGIZA NUSU UTUPU...CHEKI HAPA



Mrembo na mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi.

Akipiga stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi Bongo huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.

“Zamani nilikuwa nikiogopa kuigiza nusu utupu. Wenzetu Nigeria wameendelea na ndiyo maana wanaigiza hata nusu utupu, kama itatokea nafasi ya kuigiza huko (nje ya Bongo) nusu utupu, nipo tayari,” alisema Batuli.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment