BATULI ASIFIA ‘JICHO’ASEMA LINAONGEA ZAIDI YA SAUTI YAKE.
Urembo: Ni kweli macho ya naonge lakini hili la mwigizaji Batuli linaongea zaidi. Haya sio maneno yangu ni bali ni maneno yake mwenyewe alioyaandika kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa amerembua.
“Look into my eyes and hear what I'm not saying, for my
eyes speak louder than my voice ever will.....”
Haya jamani wale mliosoma English Mediam, hebu malizieni hizo deshidesh...
0 comments:
Post a Comment